JAMBO SQUAD (MAMONG'OO) WAMEACHIA VIDEO YAO MPYA YA "TUKUNYEMA".
Video
ya "Tukunyema" ikiwa mbioni kumalizika editing, pata kutazama watoto wa
bibi aka Jambo Squad ndani ya reshoot ya "Mamong'oo" na kampuni ya
Hoodpixx ikishirikiana na VMG Africa.
Producer DX katikati akiwa na wana JamboSquad
HII HAPO CHINI NDIO VIDEO YAO MPYAA YA WIMBO WA "TUKUNYEMA"