MWIGIZAJI ASHELY TOTO KUTOKA KENYA INASEMEKANA NDIO SABABU MOJA WAPO YA NDOA YA BOB JUNIOR KUVUNJIKA
Ashely Toto in German
Hapa Bob Junior Akiwa Mombasa na Ashley Toto hivi Karibuni
Hapa Bob Junior Akiwa Ujerumani na Dada Ashley Toto
Wakila Raha Ujerumani Frankfurt
Wakiwa Ujerumani Mall Wakifanya Shopping
Ashley Toto Ni Msanii wa movies kutoka
Kenya ambae makazi yake ni Ujerumani ila kwa sasa yupo Mombasi kwa
mapumziko ..Mnyetishaji wa habari ametuhabarisha kuwa wawili hawa wapo
mapenzini kwa muda mrefu sana hata alipokuwa Ujerumani Bob Junior huwa
anaenda huko kama baadhi ya picha zinavyoosha ..Pia inasemekana kuwa
baada ya Mwana Dada huyu kuja Mombasa kwa mapumziko Bob Junior alienda
Matembezi huko na Kukaa kwa muda wa week moja akiwa nae na baadae Mwana
dada huyo Mrembo alimtafutia Show mbili Huko Mombasa ...Inasemekana ndio
Sababu mojawapo ya mke wake kuona wivu wa mapenzi na kuamua kuachana na
Bob junior.. -Mdau