Dada Zetu Na Mapenzi Na Wazungu..Kunani?

 
Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu?
Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu? Na kingine swahili nao wakuona dada kashawahi kuwa na mzungu na wao huwa kama wanampotezea ni nini behind of all this?

Najiuliza sana ni kwanini....Nijuzeni basi
back to top