Uongozi mpya wa bongo movie .......Ray alamba shavu




Shilole akipiga kura


Mwenyekiti wa zamani wa Bongo Movies JB akimpongeza Jackline


Kutoka kushoto ni Chiki Mchoma, Ray na Jack Wolper


Irene Uwoya na Chiki

Hivi karibuni Bongo Movies ilipata viongozi wake wapya katika uchaguzi uliofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Viongozi wapya waliochaguliwa ni pamoja na Vincent Kigosi aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mkuu, Irene Uwoya -Makamu wa Mwenyekiti , Chiki Mchoma Katibu Mkuu, Single Mtambalike aka Richie Richie alichaguliwa kuwa Mtunza Fedha Mkuu na Makamu wake kuwa Jackline Wolper.
back to top