
Michael Sam.
Mchezaji Michael Sam wa St. Louis Rams inayoshiriki National Footbal
League (NFL) huko Marekani amekuwa mchezaji wa kwanza kujitangaza kuwa
shoga kwenye mchezo huo.Sam mwenye umri wa miaka 24 ni mzaliwa wa Galveston, Texas nchini Marekani.