Hadija Yusuf akiimba stejini.
Mzee Yusuf akitoa burudani kwa mashabiki.
Mashabiki waliofurika ukumbini hapo wakiserebuka.
Mashabiki hawa wakionyesha manjonjo yao.
Hawa nao wakionyesha mbwembwe za kunengua.
Baadhi ya waimbaji wa Jahazi wakiimba kwa pamoja.
Mwimbaji wa Jahazi, Fatuma Mcharuko akiserebuka.
Mashabiki wakiserebuka.
Shabiki akimtunza Hadija Yusuf.
BENDI ya Jahazi Modern Taarab usiku wa kuamkia leo imeangusha shoo
bab kubwa ndani ya ukumbi wa kisasa wa burudani wa Dar Live uliopo
Mbagala, Zakhem jijini Dar es Salaam.