Nicki Minaj atupia picha mtandaoni akiwa mtupu bafuni akioga
Nicki Minaj anataka umuone akiwa anaoga bafuni. Jumatano ya wiki hii, rapper
huyo alipost picha kadhaa kwenye Instagram akiwa mtupu bafuni akioga.
Nicki hakuandika chochote kwenye picha hizo. Zitazame picha hizo hapa.