MOTO ULIVYOTEKETEZA TIMERS LOUNGE & BAR JIJINI NAIROBI

 
Moto ukiteketeza jengo la Timers Lounge & Bar jijini Nairobi.

 
Wananchi wakishuhudia jengo hilo likiungua.
 
Jengo hilo likizidi kuteketea.
MOTO umeteketeza mali kadhaa katika jengo la Timers Lounge & Bar lililopo jirani na Emperor Plaza jijini Nairobi leo asubuhi. Vikosi vya zimamoto vilifanikiwa kuzima moto huo japo tayari ulikuwa umeunguza mali. Katika tukio hilo, hakuna mtu aliyejeruhiwa.
(Picha na Daily Nation)
back to top