Mwana
muziki wa Bongo freva toka mkoani Morogoro mwana dada Dayna Nyange,
amekanusha kuhusishwa na picha zilizomuonesha akifanya uchafu ufukweni
akiwa na njemba nusu uchi.
Dayna kupitia page yake ya facebook, ameweka
wazi kwamba sivyo kama ilivyoandikwa na baadhi ya mitandao kwamba
alfumwa badala yake ilikuwa ni sehemu ya location ya video yake ya wimbo
mpya wa mimi na wewe
"Jamani izi ni moja ya Picha....
Tulipokuwa location tuna shoot wimbo wangu wa "Mimi Na wewe" Na sivyo
kama ilivyo semekana. Na baadhi ya blogs kwamba nimefumwa beach
nikijiachia sijui nini Na nani kha!