VIDEO!!! MCHINA ajitosa kwenye BONGOMUVI, ameigiza movie moja na Dr Cheni...VITUKO HIVI...TAZAMA VIDEO HAPA
Dr
Cheni baada ya kumtambulisha Steven shabiki wa damu wa club ya
Yanga kwenye bongomovie , hivi sasa amemtambulisha mchina kwenye tasnia
hiyo.
Moja ya sentensi anayosema Dr Cheni kwenye scene ambayo mchina
amehusika ni hii, “Nyinyi mmekuja kuwekeza kwenye nchi yetu mnawekeza
hadi kwa wake zetu”.
Angalia hii scene ambayo mchina kahusika akimchukua mke wa Dr Cheni