Rais
mstaafu wa Awamu ya tatu,Mh. Benjamini Mkapa akipokea zawadi kutoka
kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama
Polycarp Kardinali Pengo iliyotolewa na Parokia ya Kanisa Katoliki la
Maria Imakulata Upanga jijini Dar es Salaam.
Rais
mstaafu Benjamion Mkapa akipokea zawadi kutoka kwa Askofu Mkuu wa Jimbo
Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati
wa ibada maalum ya kutimiza miaka 75 iliyofanyika katika Kanisa la
Katoliki la Maria Imakulata jijini Dar es Salaam.
Rais
mstaafu Benjamion Mkapa akipokea zawadi kutoka kwa Askofu Mkuu wa Jimbo
Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati
wa ibada maalum ya kutimiza miaka 75 iliyofanyika katika Kanisa la
Katoliki la Maria Imakulata jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis
Dande)
Maua yaliyopambwa vizuri kwa kusomeka namba 75 ikiwa ni ishara ya umri wa Mh. Benjamin Mkapa.
Kwaya ikitumbuiza.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongoza ibada.
Waumini wakiwa kwenye ibada.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongoza ibada.
Rais
mstaafu wa Awamu ya tatu,Mh. Benjamini Mkapa akizungumza machache
wakati wa ibada hiyo ya kusherehekea kutimiza miaka 75 ya kuzaliwa
kwake.
(chanzo;GPL.)