
Katika
siku za hivi karibuni kumekuwa na mazungumzo yanayoonyesha kuwa walimu
wamekuwa watu wenye nafasi kubwa sana ya kuolewa kuliko wanawake walioko
kwenye nafasi nyingine za ajira. Kimsingi mimi binafsi nimekuwa sijui
sababu hasa ya hili lakini nakumbuka mama yangu aliwahi kunambia hivi
"Ukipata mwalimu itakuwa vizuri maana wanajua kulea watoto"
Kuna
mtu mwingine alinambia "Ratiba ya walimu iko very open, hakuna
overtime, semina mara chache mno, mikutano mpaka awe na ushikaji na
mwalimu mkuu" so unakuwa na uhakika wa saa nane au tisa yeye kuwa
nyumbani.
Kuna sababu nyingine kwenye suala hili wadau?


Kuna sababu nyingine kwenye suala hili wadau?