Shaa
amekua miongoni mwa Wasanii wa Tanzania ambao huwa hawatoi nyimbo mpya
mara kwa mara na ndio maana anapotangaza watu wajiandae kupokea single
yake mpya lazima isubiriwe kwa hamu kubwa.
millardayo.com inayofuraha kukupa nafasi hii kuitazama video na
kuisikiliza single yake mpya kwa mara ya kwanza hapa na kisha utoa maoni
yako hapo chini mtu wangu.