
Ila tu wana udhaifu wao mkubwa, nao ni maamuzi. Mwanamke huchukua muda mrefu kufanya maamuzi juu ya jambo fulani ukilinganisha na mwanaume. Mwanamke anaweza kufikiri kuwa jambo fulani huenda halita kuwa sawa ila akashindwa kufanya maamuzi ni jinsi gani ya kulikabili, hivyo basi endapo viumbe hawa wawili(mwanamke na mwanaume wakiishi kwa ushirikiano na kwa upendo mara zote mafanikio hutokea...!!