AJALI

 
Toyota Coaster baada ya kugongana uso kwa uso na Toyota Land Cruiser eneo la Sinza Kwa Remmy.
 
Coaster ilivyoingia mtaroni.
 
Dereva wa gari lililosababisha ajali (mwenye kofia) akinyoosha mkono kuonesha jambo.
 
Mashuhuda wakiwa eneo la ajali.
 
Gari iliyosababisha ajali
 
Ajali ilivyokuwa.
Gari aina Toyota Coaster iliyobeba wanafunzi wa chekechea asubuhi hii imegongana uso kwa uso na Toyota Land Cruiser kwenye barabara ya Shekilango eneo la Sinza Kwa Remmy jijini Dar, ambapo chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa gari dogo aina ya Toyota Crester iliyokuwa ikirudi nyuma ili ichomoke kwenye maegesho.
(chanzo; GPL)
back to top