TIMU YA AZAM FC YAILAMBISHA SIMBA KONI KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
Mshambuliaji wa Azam FC Kipre Tchetche akipambana na Issa Rashidi"Baba Ubaya" wa Simba FC.Timu ya Azam imeichapa timu ya Simba
ya Jangwani kwa mabao 2-1 leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam kwenye muendelezo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom Tanzania
bara.Bao la Simba lilifungwa na Ramadhani Singano na mabao ya ushindi ya
Azam yalifungwa na mshambuliaji wao hatari kutoka Ivory Coast Kipre
Tchetche.Kwa ushindi huo Azam inaongoza ligi kuu ya Vodacom Tanzania
bara.