Mkali Iyanya asherekea birthday yake na wafungwa lakini keki yake ya-make headlines zaidi.
Baadhi ya ma-blogger wa Nigeria wameiita hiyo keki kama most sexiest
birthday cake ever kwenye party ya star huyu ambapo manager wake Ubi
Franklin pamoja na watu wake wa Man Made Music Group ndio walioandaa
keki.
Iyanya ambae ni staa wa Nigeria alikuja kwenye Fiesta ya juzi Dar es
salaam baada ya kurudi kwao alitumia muda wake kusherekea siku yake ya
kuzaliwa kwa kutembelea wafungwa, kufanya show na kuwapelekea misaada
kwenye hii siku ya kutimiza miaka 27 ambapo kilicho-make headline zaidi
ni keki yake.