LULU NA ALIKIBA KWENYE PENZI JIPYAA...!!

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na yakushangaza kwa watu wengi inasemekana baada ya lulu alimpigia simu Ali kiba wakutane hoteli moja hivi wapate dina mambo ndo yakawa hivi kama mnavyojionea wenyewe kwenye picha , ila baada ya kupata msosi yaliyoendelea haikujulikana walitoka saa ngapi.
back to top