KUMBE MSANII DYANA NYANGE ANA MTOTO MKUBWA KABISA, AMBAYE NI SWALA TANO...!! TAZAMA PICHA HAPA AKIWA NA MWANAE. Read more: http://habarizabongo3.blogspot.com/2013/10/kumbe-msanii-dyana-nyange-ana-mtoto.html#ixzz2jCthdPIs
Huyu
ndiye mtoto wa dada yake Dyana ambaye ni swala Tano kama unavyomwona
usoni ana alama ambayo ni ushahidi tosha kuwa dogo huyu ini swala tano,
na hapo anaonekana akiwa na furaha baada ya mama yake kuja kuwatembelea
nyumbani kwao Mkoani Dodoma:
Na
huyu ndiye dada wa Dyana anayemfwata wakiwa katika nyuso za furaha
baada ya mwanadada Dyana ambaye ni msanii wa Bongo Fleva kuwatembelea
nyumbani kwao mkoani Dodoma