HII NDIO PICHA TATA ILIYOMLETEA DHAHAMA RIHANNA HUKO FALME ZA KIARABU....!
Mwimbaji
Rihanna ametakiwa kuondoka katika msikiti mkubwa katika Falme za
Kiarabu, baada ya kupiga picha ambazo mamlaka za huko zinasema
'hazifai'. Alikwenda katika msikiti wa Sheikh Zayed Grand, uliopo Abu
Dhabi.