Forbes yatangaza list ya most powerful people 2013, Barack Obama hayupo tena namba moja.

forbes 
Mtandao maarufu kwa kutoa list mbalimbali ikiwemo ya watu matajiri duniani, wakati huu wametoa list ya watu wenye nguvu sana duniani. Mwaka jana namba moja alikuwa rais wa taifa kubwa dunia Barrack Obama. Mwaka huu mambo yamekuwa tofauti kwa kumuona bwana Obama akishuka kutoka kwenye hiyo nafasi yake.

Watu wengine maarufu waliopo kwenye top five ni  Xi Jinping mwenyekiti wa chama cha kikomunisti cha China,Pope Francis,Angela Merkel kutoka Ujerumani na Vladimir Putin kutoka Russia ambaye ndiyo namba moja akifuatiwa na Barack Obama namba mbili.
Untitled
back to top