VIDEO:KIJANA ALIYEKAMATWA NA DK MWAKYEMBE AKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA..!!
Siku moja baada ya ziara ya kushtukiza
ya waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe, kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar-es-Salaam, kiasi kikubwa cha dawa
za kulevya kimekamatwa uwanjani hapo katika harakati za kusafirishwa
kwenda nchi za nje.