VIDEO YA MWANACHUO ALIYEREKODIWA AKICHEZA UCHI, KWA AHADI YA KUPEWA DONGE NONO LA FEDHA..
Huu
ni mkasa wa mwanachuo wa kike aliyekutana na tapeli aliyejifanya yeye
ni mzungu yuko marekani.Baada ya kuzungumza kwa sms wakati wanachati
ndipo mzungu huyo alipomuuliza mwanachuo huyo kama anaweza kuvua nguo
na kucheza uchi huku akimwangalia kupitia webcam,na kisha kutoa ahadi ya
kumtumia kiasi cha fedha baada ya mwanafunzi huyo kufanya
hivyo.mwanachuo alifikiri anachati na mzungu kweli kumbe alikua
tapeli.kijana huyo alitumia uhuni wa kuweka picha ya mzungu ili aweze
kumpata dada huyo kirahisi.
Inasemekana baada ya mwanachuo huyo kukubali kucheza nusu uchi
, tapeli huyo alimrekodi na kuposti mtandaoni video ikimwonesha binti
huyo akicheza nusu utupu