VIDEO YA MSANII LADY GAGA ALIPONASWA AKITAMBIKA HUKU AKIWA UCHI WA MNYAMA
Katika hali isiyo ya kawaida, video ya msanii Lady Gaga akitambika uchi wa mnyama yanaswa..Katika video hiyo, msanii huyo anaoneka akiondoa mikosi yake porini huku akiwa kama alivyozaliwa.
Baada ya kutambika porini, Gaga alihamia mtoni na kumalizia zoezi lake la kusafisha nyota yake.