Hivi
unaweza kuamini mshiriki huyu ameweka rekodi ya BBA house baada ya
kutokuwa nominated kwenye jumba la BBA tangu mashindano yaanze. Kitu
kikubwa wanachokiangalia watu hivi sasa ni kama anaweza kushinda zawadi
kubwa ya BBA The Chase kwasababu kama bahati anayo, hapa
namzungumzia Beverly mshiriki kutoka Nigeria.
Unaambiwa kwa muda wa miaka kumi mshiriki huyu ambaye ni video vixen
mwenye umri wa miaka 21 ndiyo ameweka rekodi ya kutokuwa nominated ili
apigiwe kura za kutoka. Lets wait kuona kwamba bahati yake itambeba na
kushinda huu mzigo wa dola kutoka BBA.