Hiki ni kituo kilichopo maeneo ya Magomeni Usalama.
Muonekano wa Morogoro road eneo la Magomeni.
Wakati ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi, jijini Dar es
Salaam ukiendelea katika Barabara ya Morogoro muonekano wa vituo vipya
unavutia tofauti na ule wa zamani.
GPL