MISS UTALII ALIYEPIGA PICHA CHAFU NA MANAIKI , APEWA KIPIGO KIKALI NA MPENZI WAKE...!!! ,TAZAMA PICHA HAPA..

Zile
picha za aibu zilizoongoza vichwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
nchini pamoja na nje ya nchi hasa nchini Kenya zilizokuwa zikimuonesha
mwanamuziki na msanii wa bongo muvi Manaiki Sanga akiwa na mabinti
mbalimbali wakiwa kwenye picha utupu sasa tukio hilo limechukuwa sura
mpya baada mrembo aliyekuwa mshiriki Miss Utalii 2013 Fathiya Alfani
kupigwa nusu ya kupoteza uhai wake na mchumbaake kwa madai ya
kumdhalilisha.
Habari
za uhakika toka kwa rafiki wa karibu na mrembo huyo ambae amevujisha
picha hizi za kupigwa kwa Fathiya aliieleza mtandao huu “
Jamani tumuone huruma Mrembo wa Facebook kwani hali yake sio mbaya
amepigwa sana kiasi cha kutolewa nafsi na mchumbaake anaeishi nae huko
Buza”K
Baadhi ya picha zilizomtokea puani
Mrembo wa Facebook akiwa na mwanamuziki/msanii Manaiki Sanga walizopiga
visiwani Zanzibar msimu wa sikuu ya Idd