"MAPAJA YANGU NDO KILA KITU" DIVA WA CLOUD FM
Loveness Diva sasa kaamua kuyapromote mapaja yake baada ya kuchoka kumpaisha mpenzi wake.....
Kupitia
account yake ya instagram, jana Diva alitupia picha ya paja
lake na kuwaacha mashabiki wake wafunguke kama paja lake ni
zuri au baya....