Ukicheki hiyo picha hapo juu sura ya mtu gani maarufu inakuja kwa haraka, kama bado haujamfahamu huyo ni
Fareed
Kubanda a.k.a Fid Q. Pia kama umesahau leo ni August 13 ambayo ni jina
la ngoma yake aliyoimba na Juma Nature, leo pia ni siku yake ya
kuzaliwa. According to Fid Q anasema kwamba hii ndiyo official picha ya
birthday yake mwaka huu. Happy Birthday tajiri wa mashairi, nakutakia
heri uwe pia tajiri wa miaka mingi ya kuishi hapa duniani.