Jinsi models wa onyesho la “Fashion Avenue” by Ally Rehmtullah walivyochaguliwa ndani ya Serena.

1 
Jana kwenye hoteli ya Serena, Ally Rehmtullah na team yake nzima ya majaji. Waliweza kuchagua models kwa ajili ya onyesho la mavazi litakalofanyika tarehe 30 mwezi huu. Ally Rhemtullah amelipa jina tukio hilo kama “Fashion Avenue” ambapo watu wataenda kwa mualiko maalum tu.Cheki picha jinsi mchakato mzima wa kuwapata wanamitindo hao.
DSC_0242
DSC_0275
Baadhi ya models wa kike waliopita mchujo wa kwanza
DSC_0327
DSC_0349 
Meza ya majaji
DSC_0407
DSC_0462
DSCN3032
DSCN3061 DSCN3062 
Models walikuwa wanatembea watatu kwenda kwenye meza ya majaji kwa ajili ya kupata maoni ya Yes or No.
DSCN3065
DSCN3068
DSCN3070
DSCN3071
DSCN3072 
Top 20 ya models wa kiume
DSCN3074
DSCN3077 
Ally na wageni wake
DSCN3078 
Wema akisisitiza kitu
DSCN3088 
Daxx akitangaza matokeo ya models wa kiume
DSCN3089 
Models wa kike wakichaguliwa
DSCN3092
DSCN3093 
Models wa kike wakitangazwa
DSCN3096
DSCN3098
DSCN3100 
Baadhi ya models wa kike waliochaguliwa
DSCN3101 
Models wa kike wakiandika majina baada ya kuchaguliwa
DSCN3104 
Wema akifanya interview na pia kampuni yake ikishoot reality TV show yake
DSCN3106
DSCN3114
DSCN3115

back to top