Refa Mechi ya Simba na Yanga Jana Ashonwa Nyuzi Tatu

 
 Mwamuzi Martine Saanya wa mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba, akiwa chini baada ya kugongana kwa bahati mbaya na mchezaji Kavumbagu wa Yanga wakati wa alipokwenda kuamulia ugomvi.

back to top