Kulikuwa na maswali mengi aliyokuwa akiuliza rapper Pro. Jay kuwa yupo
chama gani cha siasa cha hapa nchini? sasa leo majibu ya maswali hayo
hatimae yamepatikana ni kuwa yupo CHADEMA.....Amekabithiwa na Kadi na
Sugu Mbele ya John Myinka na Viongozi wengine...
Chanzo: udakuspecally.