PICHA YA LEO...! BEYONCE AAIBIKA JUKWAANI ....

   
 Picha hii ilichukuliwa na mpiga picha wakati beyonce a.k.a lady diva akiwa akipiga show......
Hii inawahusu hasa wasanii wa kibongo ambao wanaiga kila kitu...
mfano yule mwanafunzi wa chuo aliyepiga piga picha ya utupu akijifananisha na Rihanna...kwa story hiyo

Pia kunapicha nyingi za wasanii wa kibongo wanaiga mambo ya kigeni mpaka mwishowe wana dhalilika....
Je tunajifunza nini........
ANDIKA CHOCHOTE KUHUSU HII PICHA HAPO CHINI ILI TUJIFUNZEKUTOKANA NA HII PICHA HASWA KWA WALE WANAOPENDA KUIGA KUANZIA KWENYE MAVAZI MPAKA LIFE STYLE YAO KIUJUMLA....
back to top