K' LYNE AWEKA WAZI UHUSIANO WAKE NA REGINALD MENGI

Kumekuwepo na Minong'ono mingi lakini hapakuwa na ushahidi wa hili mpaka mwanadada huyo alipoamua kuanika hadharani kuwa mheshimiwa Reginald Mengi ndiye baba halali wa mapacha wake wawili. Hongera Mmiliki  wa makampuni ya IPP bwana REGINALD mengi kwa kumiliki mtoto mkali  Jackline Ntuyabaliwe(K'lyne)  ....

Hiyo ndo Tweet ya K'lyne kwa mpenzi wake Mh. MENGI
back to top