
Mh Sitta ametoa kauli hiyo leo asubuhi
wakati akisoma hotuba ya bajeti ya wizara ya afrika mashariki kwa mwaka
2013/2014.
Sitta amesema pamoja na bunge kuwa na
mjadala mkali lakini siyo sahihi Kenya kulidhalilisha bunge la tanzania
kwa namna hii na kusema huenda picha
hii ikachochea vurugu na majirani zake.
Picha hiyo ilichapishwa katika
gazeti moja kutoka kwa majirani zetu siku za hivi karibuni