Pichani
juu ni taswira za ajali mbaya iliyohusisha magari matatu ambayo
imetokea katika barabara ya Chang'ombe jijini Dar es Salaam na
kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Lori la mafuta ya kupikia lenye
namba za usajili T 219 lililokuwa likitoka bandarini kuelekea Ubungo,
limegongana na daladala kisha kupinduka na kuziba barabara ya
Chang'ombe. Baadhi ya wananchi waliofika eneo la tukio walionekana kuwa
busy wakichota mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye Lori hilo.