SIZE 8 - "NAJUTA KUPOTEZA BIKIRA YANGU, SASA MAPENZI BASII".


Siku chache baada ‘vidonge hitmaker’ size 8 kutangaza kuwa ameokoka na kwamba sasa atajihusisha zaidi na uimbaji wa nyimbo za injili, ameendelea kujadili kuhusu maisha mapya ya wokovu aliyoyaanza.  Baada ya kutangaza kuwa hatavaa tena nguo fupi kama alivyokuwa amezoea, amefunguka zaidi na kusema anajuta sana kuipoteza bikira yake na kwamba hatafanya tena mapenzi mpaka pale atakapompata wake wa maisha.
"I regret losing my virginity. I believe the youth should abstain from sex".
back to top