Lema: Nitaondoka katika Ubunge Arusha Mungu akiamua.
Namnukuu kamanda "nitaondoka ktk ubunge arusha endapo mimi na mungu
tutaamua lakini sio vinginevyo" Huwa napenda nukuu za Kamanda
Lema.Alikuwa akizungumza na mwandishi wa ITV nje ya mahakama ya Rufaa
baada ya Kuhakikishiwa Ubunge wa Arusha mjini.