"KILA NINAPOFANYA MAPENZI HUWA NAJUTA".....NIFANYEJE?
Poleni
na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa.
Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na
wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa napenda kufanya mapenzi
japokuwa hamu haipo kabisa na hivyo huwa naumia kwani kufanya mapenzi
bila ya kuridhika na wala kusikia raha ni kaziWakati mwingine
huwa najutia kitendo nilichokifanya yaani najuta kufanya mpenzi,
Nifanyeje ili na mimi niweze kufika kileleni kwani wasichana wengine
wanasema wanasikia raha sana...Naomba mawazo yenu...