Longtime tuli-break story ya Rose Ndauka kuwa na mpango wa kufanya
TV show yake. Habari zinaendelea kwamba msanii wa filamu Tanzania
maarufu kama Rose Ndauka ameshaanza ku-shoot show yake inayoenda kwa
jina la The Family Tv Talk Show. Angalia picha hizi za zikimuonyesha
Rose kwenye location ya show ya kwanza ambapo katika kipindi hicho mgeni
ambaye alipata nafasi ya kufanya mazungumzo na mwanadada Ndauka ni
msanii wa Bongo Flava maarufu kama Sam Wa Ukweli.


Picha zaidi hapa



Picha zaidi hapa
