
Unamkubuka Nora ambaye aliwahi kung’ara kupitia kundi la Kaole Sanaa Group kupitia thamthilia mbalimbali zilizokuwa zinaruka kwenye tv. kiuyahaki inakutana na Nora na kufanya interview ndefu kujua anafanya nini now zaidi ya kuendela kufanya movie,muonekano wake mpya na picha kali. Vyote utavipata hapahapa soon kupitia bongomovietz.com

NORA AKIWA NA SHAMSA FORD